aldehyde ( @Pb_banza ) Twitter Profile

Pb_banza

aldehyde

#NeverRegular
#+ve energy
#thefinest
#marathonier

Mwanza, Tanzania

Joined on 6 May, 2018

  • 7 Tweets
  • 680 Followers
  • 1.6k Following

Replying to @Sirjeff_D: Kama hawajakuwekea kiti kwenye meza yao usiwalaumu, tengeneza na wewe meza yako.

 0  0  37

Kama hawajakuwekea kiti kwenye meza yao usiwalaumu, tengeneza na wewe meza yako.

 343  4  37

Replying to @incredible_nory: Dear TOT Members,

My sister's sick 😫,last year November she was found with breast cancer sad to say. For once i'm ask…

 0  0  591

Replying to @lnwhatway: Survival tip in water 🔥

 0  0  4,142  Download

Replying to @YusuphMbilinyi8: Mashati ya ofisini ya mikono mirefu 20,000 na mikono mifupi Tsh 17,000 kindly tupigie 0768244899
#MAUNYAMA https://t.c…

 0  0  13

Mashati ya ofisini ya mikono mirefu 20,000 na mikono mifupi Tsh 17,000 kindly tupigie 0768244899
#MAUNYAMA

 24  0  13  Download

Dear TOT Members,

My sister's sick 😫,last year November she was found with breast cancer sad to say. For once i'm asking ya'll kama unaweza tumchagie damu, SHE NEEDS 😫😫: If you ready please njooni Muhimbili or chek na No. 0719 326 498 for more info!!

PLEASE GUYS...🙏🏾🙏🏾🙏🏾

 1,183  120  591  Download

Replying to @SexFactsOfLife: More people need to see this

 0  0  168  Download

More people need to see this

 512  4  168  Download

Survival tip in water 🔥

 16,426  363  4,142  Download

Replying to @lnwhatway: HOW TO TREAD WATER EFFICIENTLY

 0  0  633  Download

HOW TO TREAD WATER EFFICIENTLY

 2,229  18  633  Download

Replying to @KakuruF: Kijana mwenzangu haswa bachela, kuwa “MBINAFSI”, jihudumie, weka tuhela twako kula mwenyewe, wasaidie wazazi, wadogo zako was…

 0  0  199

Kijana mwenzangu haswa bachela, kuwa “MBINAFSI”, jihudumie, weka tuhela twako kula mwenyewe, wasaidie wazazi, wadogo zako wasaidie unavyoweza, jenga mdogo mdogo, usijilinganishe, nunua tumifugo tuwili tutatu wakeza home, starehe haziishi, demu asiye wako akikuomba mwambie sina.

 983  65  199

Replying to @TOTTechs: ◾️Kuna mtu aliniuliza hivi Computer yenye processor Core i7 ni bora kuliko zenye Core i3 au i5 ?

◾️Jibu linaweza kuwa ni ndi…

 0  0  155

Replying to @NormanJonasMD: You leave home to seek your fortune and, when you get it, you go home and share it with your family.

 0  0  8

You leave home to seek your fortune and, when you get it, you go home and share it with your family.

 109  1  8

◾️Kuna mtu aliniuliza hivi Computer yenye processor Core i7 ni bora kuliko zenye Core i3 au i5 ?

◾️Jibu linaweza kuwa ni ndiyo lakini inategemea na aina ya i7, i3 au i5 unayoilinganisha

◾️Tuangalie kwa ufupi jinsi haya mambo yanavyo changanya watu

Uzi mfupi 👇

 305  45  155  Download

Replying to @tonytogolani: Aliwahi kusema Waziri Mluu Mstaafu wa Uingereza Sir. Winston Churchill kwamba "Nyakati pekee unazobaki mpweke na mwenyewe…

 0  0  78

Aliwahi kusema Waziri Mluu Mstaafu wa Uingereza Sir. Winston Churchill kwamba "Nyakati pekee unazobaki mpweke na mwenyewe ni wakati unafariki na wakati wa unatoa hotuba". Mimi naongeza, na wakati wa kuongea Kiingereza kwa sisi tuliokuzwa na kulelewa katika Kiswahili.

 794  44  78

Replying to @Theo_mwangi: Buy when everyone is selling, sell when everyone is buying

 0  0  132

Buy when everyone is selling, sell when everyone is buying

 518  9  132

Replying to @biturojr: Serikali irudishe matibabu bure ya ugonjwa wa sico cel kama ilivyo kuwa awali. Watoto wengi watapoteza maisha kwa kushindwa k…

 0  0  50

Replying to @tonytogolani: #SikilizaTogolani "Mwaka 2020 umenifundisha kuwa maisha ni mafupi sana na yanadunda na kugeuka kama kitenesi. Ahirisha vy…

 0  0  91

#SikilizaTogolani "Mwaka 2020 umenifundisha kuwa maisha ni mafupi sana na yanadunda na kugeuka kama kitenesi. Ahirisha vyote lakini si kustarehe, maana lolote linaweza kutokea wakati wowote. Starehe inayowezeka leo, ifanyike leo". Mshauri wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe

 611  21  91

Serikali irudishe matibabu bure ya ugonjwa wa sico cel kama ilivyo kuwa awali. Watoto wengi watapoteza maisha kwa kushindwa kumudu garama za matibabu😭😭.

Mungu akupe pumziko la milele Kijana Wetu💔.🙏

 464  32  50  Download

Replying to @DalJeanis: @ebenzy_ @masikakalysha My experience during my long ago young adulthood is that many women who friendzone you (in a romanti…

 0  0  32

Replying to @officialhotrod: @masikakalysha Never get in a relationship with a girl who feels like she’s doing you a favor

 0  0  436  Download

Replying to @Eric_Bernard94: "Umepata" ni lugha ya Kistaarabu kukueleza kwamba huna Common sense ya Kusema "Asante Sana"

 0  0  17

Replying to @JotiOfficial: “Epuka kuweka ukuta kati ya mtu na chakula chake.” - Babu

 0  0  16

"Umepata" ni lugha ya Kistaarabu kukueleza kwamba huna Common sense ya Kusema "Asante Sana"

 291  10  17

@ebenzy_ @masikakalysha My experience during my long ago young adulthood is that many women who friendzone you (in a romantic friendship where they enjoy the attention) when you are unattached, suddenly decide they want to date you when you get a girlfriend.

Advice: Don't bite. You'll lose both.

 317  3  32

@masikakalysha Never get in a relationship with a girl who feels like she’s doing you a favor

 3,523  17  436  Download

Replying to @GillsaInt: #GillIdeas Mbudya or Any Beach: Tengeneza Locker Boxes. Mtu akija beach kama ana vitu zake na anataka kwenda ku swim anaweka…

 0  0  56

#GillIdeas Mbudya or Any Beach: Tengeneza Locker Boxes. Mtu akija beach kama ana vitu zake na anataka kwenda ku swim anaweka kwa locker analipia $$ kwa hour.

 708  19  56

“Epuka kuweka ukuta kati ya mtu na chakula chake.” - Babu

 282  8  16

Replying to @lornajoycefa: I stopped finding the need to explain myself for shit..

 0  0  7

Replying to @Benji_Fernandes: Kujilinganisha na wengine ndio kifo cha furaha yako.

Zidisha focus kwenye mambo yako na endelea kujenga maisha yako.

 0  0  29

I stopped finding the need to explain myself for shit..

 13  2  7

Kujilinganisha na wengine ndio kifo cha furaha yako.

Zidisha focus kwenye mambo yako na endelea kujenga maisha yako.

 100  2  29

End of content

No more pages to load